Makala hii inahusu mwaka 1967 BK (Baada ya Kristo).
- 2 Januari - Tia Carrere, mwigizaji filamu kutoka Hawaii (Marekani)
- 8 Januari - R. Kelly, mwanamuziki kutoka Marekani
- 23 Januari - Naim Süleymanoğlu, mwanariadha kutoka Uturuki
- 10 Februari - Laura Dern
- 7 Mei - Fuya Godwin Kimbita, mwanasiasa wa Tanzania
- 19 Juni - Mia Sara
- 20 Juni - Nicole Kidman
- 23 Juni - Jenista Joakim Mhagama, mwanasiasa wa Tanzania
- 11 Julai - Jhumpa Lahiri, mwandishi kutoka Marekani
- 12 Julai - Adam Johnson, mwandishi kutoka Marekani
- 18 Julai - Vin Diesel - mwigizaji na mwongozaji wa filamu kutoka Marekani
- 19 Julai - Yael Abecassis, mwigizaji wa filamu kutoka Israel
- 27 Julai - Rahul Bose, mwigizaji wa filamu kutoka Uhindi
- 5 Agosti - Kazunori Yamauchi, muundaji wa michezo ya video kutoka Japani
- 13 Agosti - Amélie Nothomb, mwandishi kutoka Ubelgiji
- 21 Agosti - Carrie Anne Moss, mwigizaji wa filamu na mwanamitindo kutoka Kanada
- 19 Septemba - Alexander Karelin, mwanariadha kutoka Urusi
- 27 Septemba - Debi Derryberry, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 10 Oktoba - Gavin Newsom
- 22 Oktoba - Carlos Mencia, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 28 Oktoba - Julia Roberts
- 11 Desemba - DJ Yella, mwanamuziki wa Marekani
bila tarehe
- 5 Februari - Violeta Parra, mwimbaji na mwanasiasa wa Chile (alijiua)
- 27 Machi - Jaroslav Heyrovsky, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1959
- 5 Aprili - Hermann Muller, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1946
- 8 Mei - Elmer Rice, mwandishi kutoka Marekani
- 31 Mei - Billy Strayhorn, mwanamuziki wa Marekani
- 17 Julai - John Coltrane, mwanamuziki kutoka Marekani
- 21 Julai - Albert Lutuli, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1960
- 22 Julai – Carl Sandburg, mwandishi wa Marekani (na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1940
- 1 Agosti - Richard Kuhn, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1938
- 18 Septemba - John Douglas Cockcroft, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1951
- 7 Oktoba - Norman Angell, mwandishi wa habari Mwingereza (na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1933
- 9 Oktoba - Cyril Hinshelwood, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1956
- 9 Oktoba - Che Guevara, mwanamapinduzi kutoka Argentina
- 25 Oktoba - Margaret Ayer Barnes, mwandishi kutoka Marekani
- 7 Novemba - John Garner, Kaimu Rais wa Marekani
- 27 Desemba - Martin Flavin, mwandishi kutoka Marekani
Ukweli wa haraka
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Funga