Majina ya Yesu katika Agano Jipya
From Wikipedia, the free encyclopedia
Majina ya Yesu katika Agano Jipya ni namna mbalimbali za kumuita kwa heshima na katika jitihada za kuweka wazi yeye ni nani kweli, tena ni nani kwetu sisi binadamu.[1][2][3][4][5]
Maelezo zaidi Mfululizo wa kurasa juu ya Yesu, Mazingira ya Yesu ...
Funga
Pamoja na jina Yesu alilopewa alipotahiriwa siku ya nane baada ya kuzaliwa[6][7][4][8][9] na Kristo,[10] [11][12][13] katika Agano Jipya anaitwa kwa namna nyingine 196[14]kama vile:
- Emanueli
- Bwana
- Neno
- Mwana wa Mungu
- Mwana wa Adamu
- Mwana wa Daudi
- Mwanakondoo wa Mungu
- Adamu mpya
- Mwanga wa ulimwengu
- Mfalme wa Wayahudi
- Mwalimu
- Mwokozi
- Mkate wa uzima
- Mjumbe wa Agano Jipya
- Kuhani mkuu
- Nabii
- Mfariji (au Mtetezi au Msimamizi)
- Alfa na Omega
- Nyota ya asubuhi