Pantokrator ni aina mojawapo ya michoro ya Yesu Kristo ambayo inalenga kumtangaza kuwa Mwenyezi Mungu.
Sababu ni kwamba neno hilo la Kigiriki Παντοκράτωρ lilitumiwa na watafsiri wa kwanza wa Biblia ya Kiebrania kwa ajili ya majina mawili ya Mungu: YHWH Sebaoth (Bwana wa majeshi) na El Shaddai (Mwenyezi Mungu).
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Pantokrator kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand in your browser!
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.