From Wikipedia, the free encyclopedia
INRI ni kifupisho cha maneno ya Kilatini "Iesus Nazarenus Rex Iudaeorum" ("Yesu Mnazareti Mfalme wa Wayahudi").
Ni kwamba, kadiri ya Injili zote nne, Ponsio Pilato, liwali wa Palestina, aliamua Yesu asulubiwe kulingana na shtaka la viongozi wa Wayahudi waliodai mtuhumiwa alijitangaza kuwa mfalme na kupinga mamlaka ya Kaisari wa Dola la Roma, kwa wakati huo Tiberius, ingawa Pilato alikuwa ametambua shtaka halikuwa la kweli, bali lilitokana na husuda.
Kadiri ya Injili ya Yohane (19:19-22), Pilato mwenyewe alisisitiza kwamba, katika maandishi yaliyotakiwa kuwajulisha watu sababu ya adhabu hiyo, iwekwe wazi kwamba Yesu aliuawa kama mfalme wa Wayahudi, ingawa neno hilo lilichukiza viongozi wa taifa.
Maneno ya ilani hiyo yaliandikwa katika lugha tatu:
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu INRI kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.