Remove ads
tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia
Tarehe 28 Novemba ni siku ya 332 ya mwaka (ya 333 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 33.
Okt - Novemba - Des | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Irenarki, Papiniani, Mansueti wa Urusi, Urbani wa Jerba, Kresenti wa Bizasi, Habetdeus wa Teudali, Eustrasi wa Sufres, Kreskoni wa Tripoli, Viche wa Sabrata, Felisi wa Susa, Hortulani wa Bennefa, Florensiani wa Midila, Stefano Kijana, Theodora wa Rossano, Yakobo wa Marka, Andrea Tran Van Thong n.k.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 28 Novemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.