Remove ads
From Wikipedia, the free encyclopedia
Andrea Tran Van Thong (1808 - 1835) alikuwa Mkristo wa Vietnam ambaye, baada ya kustahimili kifungo na mateso ya kikatili kwa sababu alikataa kudharau msalaba, alikatwa kichwa katika dhuluma ya kaisari Minh Mạng [1].
Ni mmojawapo kati ya wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19 (1625–1886).
Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lạc na wenzake 116.
Kwa nyakati tofauti, Papa Leo XIII, Papa Pius X na Papa Pius XII waliwatangaza kuwa wenye heri, halafu Papa Yohane Paulo II aliwaunganisha katika kuwafanya watakatifu wafiadini tarehe 19 Juni 1988.
Sikukuu yao huadhimishwa kwa pamoja kila tarehe 24 Novemba, lakini ya kwake mwenyewe ni 28 Novemba[2].
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.