Remove ads
ukarasa wa maana wa Wikimedia From Wikipedia, the free encyclopedia
Bikira ni mwanamke yeyote asiyewahi kuingiliwa kijinsia na mwanamume. Kwa sababu hiyo kizinda kinacholinda tumbo la uzazi hakijaondolewa, bali kinabaki kama ushahidi wa hali hiyo.
Katika utamaduni wa makabila mbalimbali, kufikia ndoa katika hali hiyo ni jambo linalothibitisha msimamo wa mwanamwali unaotumainisha atakuwa mwaminifu kwa mume wake.
Kati ya wote waliokuwa na sifa hiyo, maarufu zaidi ni mama wa Yesu wa Nazareti ambaye kwa heshima anaitwa kwa kawaida Bikira Maria.
Kufuatana na mfano wake, Wakristo wengi kuanzia karne ya 1 waliamua kutunza hali hiyo maisha yao yote, hasa katika utawa.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bikira kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.