Urbani wa Jerba
From Wikipedia, the free encyclopedia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Urbani wa Jerba (alifariki baada ya 453) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki katika mji wa Jerba (leo nchini Tunisia).
Alipelekwa uhamishoni katika dhuluma ya Genseriki, mfalme wa Wavandali[1].
Habari zake zimeandikwa na askofu Vikta wa Vita.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 28 Novemba[2][3].
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.