Malaysia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Malaysia ni nchi ya Asia ya kusini-mashariki kando ya Bahari ya Kusini ya China.
Ukweli wa haraka
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Bersekutu Bertambah Mutu ("Umoja ni nguvu") | |||||
Wimbo wa taifa: "Negaraku" | |||||
Mji mkuu | Kuala Lumpur1 3°08′ N 101°42′ E | ||||
Mji mkubwa nchini | Kuala Lumpur | ||||
Lugha rasmi | Kimalay | ||||
Serikali Yang di-Pertuan Agong (Mtawala Mkuu) Waziri Mkuu |
Shirikisho, Ufalme Abdullah al-Haj Ismail Sabri Yaakob | ||||
Uhuru kutoka Uingereza (Shirikisho la Kimalay pekee) Shirikisho (na Sabah, Sarawak na Singapore2) |
31 Agosti 1957 16 Septemba 1963 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
330,803 km² (ya 67) 0.3 | ||||
Idadi ya watu - 2019 kadirio - 2010 sensa - Msongamano wa watu |
32,772,100 (ya 42) 28,334,135 92/km² (ya 116) | ||||
Fedha | Ringgit (RM) (MYR ) | ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
MST (UTC+8) -- (UTC+8) | ||||
Intaneti TLD | .my | ||||
Kodi ya simu | +60 | ||||
1 Putrajaya ni makao makuu ya serikali 2 Singapore ilikuwa nchi ya pekee tar. 9 Agosti 1965. |
Funga
Ina sehemu mbili ambazo ni:
- Malaysia Bara au Malaysia Magharibi kwenye Rasi ya Malay
- Malaysia Mashariki kwenye kisiwa cha Borneo.
Upande wa rasi Malaysia imepakana na Uthai na Singapore. Sehemu ya Borneo imepakana na Brunei na Indonesia.
Kisiasa Malaysia ni shirikisho la majimbo 13 na maeneo ya shirikisho 3.