Remove ads
tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia
Tarehe 16 Septemba ni siku ya 259 ya mwaka (ya 260 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 106.
Ago - Septemba - Okt | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Korneli, na Sipriani, Eufemia wa Kalsedonia, Abondi na wenzake, Vikta, Felisi na wenzao, Prisko wa Nocera, Ninian, Rogeli na Abdalah, Ludmila, Editha, Vitali wa Savigny, Martino wa Huerta, Yohane Macias n.k.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 16 Septemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.