20 Septemba
tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia
Tarehe 20 Septemba ni siku ya 263 ya mwaka (ya 264 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 102.
Ago - Septemba - Okt | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio
Waliozaliwa
- 1161 - Takakura, mfalme mkuu wa Japani (1168-1180)
- 1833 - Ernesto Teodoro Moneta, mwandishi Mwitalia, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1907
- 1878 - Upton Sinclair, mwandishi kutoka Marekani
- 1943 - Sani Abacha, Rais wa 10 wa Nigeria (1993-1998)
- 1947 - Juma Jamaldin Akukweti, mwanasiasa wa Tanzania
Waliofariki
- 1957 - Jean Sibelius, mtunzi wa muziki kutoka Ufini
- 1971 - Giorgos Seferis, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1963
- 1975 - Saint-John Perse, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1960
- 2015 - C. K. Williams, mshairi kutoka Marekani
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Andrea Kim Taegon na wenzake, Dorimedonti, Eustaki wa Roma, Ipasi, Asiani na Andrea, Yohane Charles Cornay, Laurenti Han Ihyong na wenzake n.k.
Viungo vya nje
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 20 Septemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.