Remove ads
From Wikipedia, the free encyclopedia
Saint-John Perse (31 Mei 1887 – 20 Septemba 1975) alikuwa mwandishi na mwanasiasa kutoka nchi ya Ufaransa. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Marie-René-Auguste-Aléxis Saint-Léger Léger. Hasa aliandika mashairi. Mwaka wa 1960 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Saint-John Perse kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.