From Wikipedia, the free encyclopedia
Dalai ni kata ya Wilaya ya Chemba katika Mkoa wa Dodoma, Tanzania, yenye postikodi namba 41815[1].
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 18,195 [2]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 15,078 [3] waishio humo.
Baadhi ya vijiji vya kata ya Dalai vyenye shule ya msingi ni Dalai yenyewe, Maziwani, Mtakuja, Piho na Tandala. Asilimia kubwa za wakazi wa kata ya Dalai ni Warangi.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.