From Wikipedia, the free encyclopedia
Paranga ni kata ya Wilaya ya Chemba katika Mkoa wa Dodoma, Tanzania, yenye postikodi namba 41805[1].
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 17,613 [2]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 12,297 [3] waishio humo.
Asilimia kubwa ya wakazi wa kata ya Paranga ni Warangi.
Baadhi ya vijiji vya kata ya Paranga vyenye shule ya msingi ni Paranga yenyewe, Kelema Balai, Kelema Kuu, Isini, Sori na cheku.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.