From Wikipedia, the free encyclopedia
Goima ni kata ya Wilaya ya Chemba katika Mkoa wa Dodoma, Tanzania, yenye postikodi namba 41804[1].
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 14,985 [2]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 12,261 [3] waishio humo.
Asilimia kubwa za wakazi wa kata ya Goima ni Waburunge ingawa Warangi wameanza kuhamia kwa wingi.
Baadhi ya vijiji vya kata ya Goima vyenye shule ya msingi ni Goima yenyewe, Jenjeluse, Hamai, Igunga, Madaha, Makamaka, Mirambo na Songolo.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.