Tanzania
From Wikipedia, the free encyclopedia
Tanzania (jina rasmi: Jamhuri ya Muungano wa Tanzania) ni nchi iliyoko Afrika ya Mashariki, ndani ya ukanda wa maziwa makuu ya Afrika. Imepakana na Uganda na Kenya upande wa kaskazini, Bahari Hindi upande wa mashariki, Msumbiji, Malawi na Zambia upande wa kusini, Kongo, Burundi na Rwanda upande wa magharibi.
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: {{{national_motto}}} | |||||
Wimbo wa taifa: {{{national_anthem}}} | |||||
[[Image:{{{image_map}}}|250px|Lokeshen ya {{{common_name}}}]] | |||||
Mji mkuu | {{{capital}}} 6°11′ S 35°44′ E | ||||
Mji mkubwa nchini | {{{largest_city}}} | ||||
Lugha rasmi | {{{official_languages}}} | ||||
Serikali {{{leader_titles}}} |
{{{government_type}}} {{{leader_names}}} | ||||
{{{sovereignty_type}}} {{{established_events}}} |
{{{established_dates}}} | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
[[{{{area_magnitude}}} m²|{{{area}}} km²]] ({{{area_rank}}}) {{{percent_water}}} | ||||
Idadi ya watu - [[{{{population_estimate_year}}}]] kadirio - Msongamano wa watu |
{{{population_estimate}}} ({{{population_estimate_rank}}}) {{{population_density}}}/km² ({{{population_density_rank}}}) | ||||
Fedha | {{{currency}}} ({{{currency_code}}} ) | ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
{{{time_zone}}} (UTC{{{utc_offset}}}) {{{time_zone_DST}}} (UTC{{{utc_offset_DST}}}) | ||||
Intaneti TLD | {{{cctld}}} | ||||
Kodi ya simu | +{{{calling_code}}}
- |
Eneo lina kilometa za mraba 947,303 (nchi ya 31 duniani); maji ya ndani yanachukua asilimia 6.2. Mlima Kilimanjaro, mlima mrefu zaidi barani Afrika, upo kaskazini-mashariki mwa Tanzania.
Idadi ya watu kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2022 ilikuwa 61,741,120[1], (nchi ya 24 duniani) kutoka 44,928,923 waliohesabiwa katika sensa ya mwaka 2012, likiwa ongezeko la 3.2% kwa mwaka.
Msongamano ni wa watu 47.5 kwa km² (nchi ya 124 duniani).
Mji mkuu ni Dodoma (wenye wakazi 765,179), lakini Dar es Salaam ndilo jiji kubwa zaidi, lenye watu 5,383,728.
Miji mingine ni kama vile Mwanza (1,004,521), Arusha (616,631), Mbeya (541,603), Morogoro (471,409), Kahama (453,654), Tanga (393,429), Geita (361,671), Tabora (308,741) na Sumbawanga (303,986).[2]