Orodha ya Maspika wa Bunge la Tanzania
From Wikipedia, the free encyclopedia
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa sasa anaongoza jumla ya wabunge 393 katika Bunge la Tanzania.[1]
Ifuatayo ni orodha ya Maspika wa Bunge hilo:
Maelezo zaidi Jina, Kuingia madarakani ...
Jina | Kuingia madarakani | Kutoka madarakani | Taarifa |
---|---|---|---|
Adam Sapi Mkwawa | 26 Aprili 1964 | 19 Novemba 1973 | Mkwawa alichaguliwa kuwa spika wa Bunge la Tanganyika tarehe 27 Novemba 1962[2] |
Erasto Andrew Mbwana Mang'enya | 20 Novemba 1973 | 5 Novemba 1975 | [2] |
Adam Sapi Mkwawa | 6 Novemba 1975 | 25 Aprili 1994 | [2] |
Pius Msekwa | 28 Aprili 1994 | 28 Novemba 2005 | [2] |
Samuel John Sitta | 28 Desemba 2005 | 2010 | [2] |
Anna Makinda | 10 Novemba 2010 | 16 Novemba 2015 | [2] |
Job Ndugai | 17 Novemba 2015 | amejiuzulu January 1 2022 | [2] |
Tulia Ackson | 1 Februari 2022 | Hadi Sasa | |
Funga