![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/3/31/Flag_of_Burkina_Faso.svg/langsw-640px-Flag_of_Burkina_Faso.svg.png&w=640&q=50)
Burkina Faso
From Wikipedia, the free encyclopedia
Burkina Faso ni nchi ya Afrika ya Magharibi isiyo na pwani kwenye bahari yoyote.
Ukweli wa haraka Mji mkuu na mkubwa nchini, Lugha rasmi ...
Burkina Faso | |
---|---|
Burkĩna Faso (Kimoore) 𞤄𞤵𞤪𞤳𞤭𞤲𞤢 𞤊𞤢𞤧𞤮 (Kifulani) ߓߎߙߞߌߣߊ ߝߊߛߏ (Kijula) | |
Kaulimbiu ya taifa: Unité–Progrès–Justice (Kifaransa) "Umoja–Maendeleo–Haki" | |
Wimbo wa taifa: Ditanyè (Kifaransa) "Wimbo wa ushindi" | |
![]() Mahali pa Burkina Faso | |
![]() Ramani ya Burkina Faso | |
Mji mkuu na mkubwa nchini | Wagadugu 12°22′ N 1°32′ W |
Lugha rasmi | Kimoore Kibisa Kijula Kifulani |
Idadi ya watu | |
• Kadirio la 2023 | 22 489 126[1] |
Funga
Imepakana na nchi zifuatazo: Mali upande wa kaskazini, Nijeri upande wa mashariki, Benin, Togo, Ghana na Kodivaa upande wa kusini.