21 Septemba
tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia
tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia
Tarehe 21 Septemba ni siku ya 264 ya mwaka (ya 265 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 101.
Ago - Septemba - Okt | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sikukuu ya Mtume Mathayo, na kumbukumbu za watakatifu nabii Yona, Kwadrato wa Athens, Pamfili wa Roma, Aleksanda wa Roma, Eusebi, Nestabo na wenzao, Kastori wa Apt, Kadoko, Landelini wa Ettenheim, Gerulfi, Maura wa Troyes, Fransisko Jaccard, Thomas Tran Van Thien, Laurenti Imbert, Petro Maubant, Yakobo Chastan n.k.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 21 Septemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.