Wisconsin

From Wikipedia, the free encyclopedia

Wisconsin

Wisconsin ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Mji mkuu ni Madison na mji mukubwa ni Milwaukee. Jimbo lina wakazi wapatao 5,627,967 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 169,790. Mipaka asilia ni Ziwa Michigan upande wa mashariki na Ziwa Superior upande wa kazkazini. Imepakana na Michigan, Illinois, Iowa na Minnesota.

Thumb
Thumb
Sehemu ya Jimbo la Wisconsin
Ukweli wa haraka Nchi, Mji mkuu ...
Wisconsin
Thumb
Bendera
Thumb
Nembo
Nchi  Marekani
Mji mkuu Madison
Eneo
 - Jumla 169,639 km²
 - Kavu 140,663 km² 
 - Maji 28,976 km² 
Tovuti:  http://www.wisconsin.gov/
Funga

Miji

Viungo vya Nje

Ukweli wa haraka
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Funga


Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wisconsin kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.