Raleigh, North Carolina

From Wikipedia, the free encyclopedia

Raleigh, North Carolina

Raleigh ni mji wa Marekani katika jimbo la North Carolina. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao 392,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 96 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Mji wa Raleigh, North Carolina
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Raleigh

Bendera
Raleigh is located in Marekani
Raleigh

Mahali pa mji wa Raleigh katika Marekani

Majiranukta: 35°49′8″N 78°38′41″W
Nchi Marekani
Jimbo North Carolina
Wilaya Wake
Durham
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 392,552
Tovuti:  www.raleighnc.gov
Funga


Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Raleigh, North Carolina kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.