Columbia, South Carolina

From Wikipedia, the free encyclopedia

Columbia, South Carolina
Remove ads

Columbia ndiyo mji mkuu katika jimbo la South Carolina. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao 730,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 89 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Remove ads
Thumb
Mahali pa Columbia katika South Carolina


Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Columbia, South Carolina kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads