Hartford, Connecticut

From Wikipedia, the free encyclopedia

Hartford, Connecticut

Hartford ndiyo mji mkuu katika jimbo la Connecticut. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao milioni 1.2 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 18 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Thumb
Mji wa Hartford
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Hartford
Thumb
Hartford

Mahali pa mji wa Hartford katika Marekani

Majiranukta: 41°45′45″N 72°41′19″W
Nchi Marekani
Jimbo Connecticut
Wilaya Hartford
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 124,512
Tovuti:  www.hartford.gov/
Funga

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hartford, Connecticut kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.