Tarehe 5 Februari ni siku ya thelathini na sita ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 329 (330 katika miaka mirefu).
Jan - Februari - Mac | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | ||||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio
- 1265 - Uchaguzi wa Papa Klementi IV
- 1977 - Kuundwa kwa Chama cha Mapinduzi, chama tawala cha Tanzania
Waliozaliwa
- 976 - Sanjo, mfalme mkuu wa Japani (1011-1016)
- 1564 - Galileo Galilei, mwanaastronomia kutoka Italia
- 1914 - Alan Hodgkin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1963
- 1946 - Charlotte Rampling, mwigizaji wa filamu kutoka Uingereza.
- 1965 - Gheorghe Hagi, mchezaji wa mpira kutoka Romania
- 1974 - Omarosa Manigault, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1985 - Cristiano Ronaldo, mchezaji wa mpira kutoka Ureno
Waliofariki
- 806 - Kanmu, mfalme mkuu wa Japani (781-806)
- 1597 - Watakatifu Paulo Miki, padri S.I., na wenzake 25 wafiadini nchini Japani
- 1967 - Violeta Parra, mwimbaji na mwanasiasa wa Chile alijiua
- 1972 - Marianne Moore, mashairi kutoka Marekani
- 2020 - Kirk Douglas
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Agatha, Wafiadini wa Ponto, Avito wa Vienne, Injenwino, Luka wa Demenna, Saba Kijana, Albuino, Adelaide wa Vilich, Yesu Mendez n.k.
Viungo vya nje
- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-08 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 5 Februari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand in your browser!
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.