From Wikipedia, the free encyclopedia
Albuino (alifariki Brixen/Bressanone, Bozen/Bolzano, leo nchini Italia, 5 Februari 1006) alikuwa askofu wa kwanza wa mji huo wa Italia Kaskazini, alipohamishia makao makuu ya jimbo kutoka Saeben/Sabiona alipokuwa askofu kuanzia mwaka 975[1][2].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Februari[3].
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.