From Wikipedia, the free encyclopedia
Injenwino (alifariki Saeben/Sabiona, Bozen/Bolzano, leo nchini Italia, 605 hivi) alikuwa askofu wa kwanza wa mji huo wa Italia Kaskazini[1].
Wakati wa uvamizi wa Walombardi Waario ilimbidi akimbie, lakini baadaye akarudi.
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Februari[2].
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.