21 Februari
tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia
Tarehe 21 Februari ni siku ya hamsini na mbili ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 313 (314 katika miaka mirefu).
Jan - Februari - Mac | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | ||||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio
- 1281 - Uchaguzi wa Papa Martin IV
- 1952 - Wanafunzi wa chuo kikuu wa Dhaka (Bangladesh) wanafanya maandamano kwa ajili ya lugha ya Bangla, na wengine wao wanauawa na polisi kwa kupigwa risasi
- 2008 - Sherehe ya Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama pia hufungulia rasmi Mwaka wa Lugha wa Kimataifa
Waliozaliwa
- 1801 - John Henry Newman, askofu Mkatoliki kutoka Uingereza
- 1895 - Henrik Dam, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1943
- 1907 - W. H. Auden, mshairi kutoka Uingereza na Marekani
- 1989 - Corbin Bleu, mwigizaji wa filamu na mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
- 1072 - Petro Damian, O.S.B.Cam., askofu na mwalimu wa Kanisa kutoka Italia
- 1513 - Papa Julius II
- 1677 - Baruch Spinoza, mwanafalsafa wa Uholanzi
- 1730 - Papa Benedikt XIII
- 1846 - Ninko, Mfalme Mkuu wa 120 wa Japani (1817-1846)
- 1926 - Heike Kamerlingh Onnes, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1913
- 1941 - Frederick Banting, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1923
- 1968 - Howard Walter Florey, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1945
- 1984 - Mikhail Sholokhov, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1965
- 1999 - Gertrude Elion, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1988
Sikukuu
- Tarehe 21 Februari tangu mwaka wa 2000 husherehekewa rasmi na nchi zote zilizojiunga na UNESCO kama Siku ya Kimataifa ya Lughamama
- Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Petro Damiani, Eustasi wa Antiokia, Jermano na Randoaldo, Robati Southwell n.k.
Viungo vya nje
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 21 Februari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.