Remove ads
Mwanasayansi wa matibabu wa Kanada na daktari (1891-1941) From Wikipedia, the free encyclopedia
Frederick Grant Banting (14 Novemba 1891 – 21 Februari 1941) alikuwa daktari kutoka nchi ya Kanada. Hasa alichunguza ugonjwa wa usukari, na pamoja na Charles Best aligundua dawa ya insulini. Mwaka wa 1923, pamoja na John Macleod alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba. Mwaka wa 1934 alipewa cheo cha “Sir” cha Uingereza.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Frederick Banting kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
'
Frederick Banting | |
---|---|
Sir Frederick Banting (1891-1941)]] | |
Amezaliwa | 14 Novemba 1891 |
Amefariki | 21 Februari 1941 |
Kazi yake | daktari kutoka nchi ya Kanada |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.