Howard Walter Florey

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Howard Walter Florey (24 Septemba 1898 21 Februari 1968) alikuwa daktari kutoka nchi ya Australia. Hasa anajulikana kwa utafiti wake wa penisilini. Alipewa cheo cha "Sir" mwaka wa 1944. Mwaka wa 1945, pamoja na Alexander Fleming na Ernst Boris Chain alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Howard Walter Florey kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Howard Walter Florey

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.

Remove ads