From Wikipedia, the free encyclopedia
Topeka ni jina la mji mkuu wa jimbo la Kansas nchini Marekani. Mnamo mwaka wa 2007, idadi ya wakazi wanaoishi mjini hapa ilikadiriwa kuwa ni 122,647. Mji ulianzishwa mnamo tar. 5 Desemba 1854. Mji upo ft 945 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Topeka, Kansas | |
Mahali pa mji wa Topeka katika Marekani |
|
Majiranukta: 39°03′21″N 95°41′22″W | |
Nchi | Marekani |
---|---|
Jimbo | Kansas |
Kitongoji | Shawnee |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 122,377 |
Tovuti: www.topeka.org |
Official sites
Miji mikuu ya majimbo ya Marekani |
---|
Alabama • Alaska • Arizona • Arkansas • California • Colorado • Connecticut • Delaware • Florida • Georgia • Hawaii • Idaho • Illinois • Indiana • Iowa • Kansas • Kentucky • Louisiana • Maine • Maryland • Massachusetts • Michigan • Minnesota • Mississippi • Missouri • Montana • Nebraska • Nevada • New Hampshire • New Jersey • New Mexico • New York • North Carolina • North Dakota • Ohio • Oklahoma • Oregon • Pennsylvania • Rhode Island • South Carolina • South Dakota • Tennessee • Texas • Utah • Vermont • Virginia • Washington • West Virginia • Wisconsin • Wyoming |
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Topeka, Kansas kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.