From Wikipedia, the free encyclopedia
South Dakota (Dakota Kusini) ni jimbo la Marekani upande wa kaskazini kati ya nchi. Imepakana na North Dakota (Dakota Kaskazini), Minnesota, Iowa, Nebraska, Wyoming na Montana.
Jimbo lina wakazi wapatao 804,1974 (2008) wanaokalia eneo la kilomita za mraba zipatazo 199,905. Mji mkuu ni Pierre na mji mkubwa ni Sioux Falls.
Mlima Rushmore (kwa Kiingereza: Mount Rushmore) ni ukumbusho mashuhuri katika milima ya Black Hills kwenye jimbo la South Dakota kwa kuwa katika mwamba wake zimechongwa sanamu kubwa za marais wanne wa zamani wa Marekani.
Majimbo ya Marekani |
---|
Alabama • Alaska • Arizona • Arkansas • California • Colorado • Connecticut • Delaware • Florida • Georgia • Hawaii • Idaho • Illinois • Indiana • Iowa • Kansas • Kentucky • Louisiana • Maine • Maryland • Massachusetts • Michigan • Minnesota • Mississippi • Missouri • Montana • Nebraska • Nevada • New Hampshire • New Jersey • New Mexico • New York • North Carolina • North Dakota • Ohio • Oklahoma • Oregon • Pennsylvania • Rhode Island • South Carolina • South Dakota • Tennessee • Texas • Utah • Vermont • Virginia • Washington • West Virginia • Wisconsin • Wyoming |
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu South Dakota kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.