Oware, ni mchezo wa Ghana, inajulikana pia na jina la Warri,[1] Ayo (jina la Yoruba kutoka Nigeria), Awele, Awari, Ouril, na jina nyingine. Mchezo una shimo 2×6.
Omweso (inaitwa pia coro) na mchezo kutoka Uganda, inachezwa na shimo 4×8.
Pallanguzhi inachezwa Tamil nadu, India kaskazini na shimo 2×7. Aina mbili za mchezo hii ni, Kaashi na Bank.
Bohnenspiel ni mchezo kutoka Ujerumani ambao unafanana na mchezo kutoka Persia. Mchezo una shimo 2×6.
Eson xorgol, unachezwa wa watu wa Kazakh kwa Mongolia magharibi. Mchezo una shimo 2×5.
ǁHus ni mcheso kutoka Namibia. Mchezo una shimo 4×8.
Abangah (Azande kutoka Sudan) Mchezo ina shimo 2×8 na Nyumba.