From Wikipedia, the free encyclopedia
Muleba ni mji mdogo na makao makuu ya wilaya ya Muleba katika Mkoa wa Kagera, Tanzania, yenye postikodi namba 35501 [1].
Muleba | |
Mahali pa Muleba katika Tanzania |
|
Majiranukta: 1°50′26″S 31°39′22″E | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Kagera |
Wilaya | Muleba |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 25,585 |
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 25,585 [2]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 18,464 waishio humo.[3]
Kaigara shule ya msingi na Rubungo shule ya msingi ni kati ya shule maarufu sana zilizokuwepo tokea zama za ukoloni; shule hizo zilikuwa na upinzani wa jadi katika taaluma na michezo na wanafunzi wa shule nyingine waliwaogopa sana wanafunzi kutoka shule hizo.
Aliyekuwa waziri wa ardhi nyumba na makazi Anna Tibaijuka alisoma Kaigara Shule ya Sekondari enzi za ukoloni.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.