Lockheed Martin
From Wikipedia, the free encyclopedia
Lockheed Martin ni kampuni ya Marekani ambayo hutengeneza ndege na makombora ya kijeshi. Ina pia kitengo cha kutengeneza vyombo vya anga-nje, kama Orion inayokusudiwa kusafiri hadi Mwezi na sayari ya Mirihi.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/9/99/Lockheed_Martin_logo.svg/220px-Lockheed_Martin_logo.svg.png)
Mnamo mwaka wa 2011 ilizalisha faida ya dolar bilioni 2.6. Makao makuu ya kampuni ya Lockheed Martin yako mjini Bethesda, Maryland.