Jefferson City ni jina la mji mkuu wa jimbo la Missouri huko nchini Marekani. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao 41,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 192 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 73.2 km².

Thumb
Mji wa Jefferson City, Missouri
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Jefferson City
Thumb
Bendera
Majiranukta: 38°34′36″N 92°10′25″W
Nchi Marekani
Jimbo Missouri
Wilaya Callloway
Cole
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 40,771
Tovuti:  http://www.jeffcitymo.org/
Funga

Viungo vya Nje


Ukweli wa haraka
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Funga


Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jefferson City, Missouri kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.