tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia
Tarehe 16 Mei ni siku ya 136 ya mwaka (ya 137 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 229.
Apr - Mei - Jun | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Felisi na Genadi, Fiorensi na Dioklesyani, Abda na Ebediesi, Pelegrini wa Auxerre, Posidi, Fidoli, Brendan Baharia, Honorati wa Amiens, Karanogi, Wafiadini wa Mar Saba, Jermeri, Ubaldo wa Gubbio, Adamu wa Fermo, Andrea Bobola n.k.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 16 Mei kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.