tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia
Tarehe 12 Mei ni siku ya 132 ya mwaka (ya 133 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 233.
Apr - Mei - Jun | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Nerei na Achilei, Pankrasi wa Roma, Sirili na wenzake, Epifani wa Salamina, Filipo wa Agira, Modoaldi, Rikitrude, Jermano wa Konstantinopoli, Dominiko wa Calzada n.k.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 12 Mei kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.