3 Mei

tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia

Tarehe 3 Mei ni siku ya 123 ya mwaka (ya 124 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 242.

Apr - Mei - Jun
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sikukuu ya watakatifu Filipo na Yakobo Mdogo, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Timotheo Msomaji na Maura, Evensi na wenzake, Jovenale wa Narni, Konlaedo, Petro wa Argo, Ansfridi, Theodosi wa Kiev, Stanislaus Kazimierczyk, Maria Leonia Paradis n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 3 Mei kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.