From Wikipedia, the free encyclopedia
Jovenale wa Narni (alifariki Narni, Umbria, 369/377) anakumbukwa kama askofu wa kwanza wa mji huo (Italia ya Kati)[1][2][3].
Inasemekana alikuwa na asili ya Afrika Kaskazini akapewa uaskofu na Papa Damaso I.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[4].
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.