Papa Silvester II
From Wikipedia, the free encyclopedia
Papa Silvester II (takriban 950 – 12 Mei 1003) alikuwa Papa kuanzia tarehe 2 Aprili 999 hadi kifo chake[1]. Alitokea Akwitania, Ufaransa[2]. .
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Gerbert d'Aurillac.
Alimfuata Papa Gregori V akafuatwa na Papa Yohane XVII.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.