From Wikipedia, the free encyclopedia
Andrea Bobola, S.J. (Sandomir Palatine, Polandi, 1591 – Janów, leo nchini Belarus, 16 Mei 1657) alikuwa padri mmisionari na hatimaye mfiadini wa Shirika la Yesu, anayejulikana kama "mtume wa Lithuania" na "mwindaji wa roho" kwa sababu alijitosa kurudisha umoja kamili kati ya Wakristo.[1]
Hatimaye alikamatwa na askari, akateswa na kuuawa katika uasi wa Khmelnytsky[2][3].
Alitangazwa kuwa mwenye heri na Papa Pius IX tarehe 30 Oktoba 1853, halafu mtakatifu na Papa Pius XI tarehe 17 Aprili 1938.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.