Uwemba
From Wikipedia, the free encyclopedia
Uwemba ni kata ya Mji wa Njombe katika Mkoa wa Njombe, nchini Tanzania, yenye postikodi namba 59103.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 10,359 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 8,900 [2] walioishi humo.
Uwemba iko monasteri ya shirika la wamonaki Wakatoliki Wabenedikto ambayo ni upriori mdogo chini ya abasia ya Peramiho.
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.