Uislamu nchini Ghana

From Wikipedia, the free encyclopedia

Uislamu nchini Ghana

Uislamu ulikuwa moja kati ya dini zenye wafuasi wengi sana nchini Ghana. Uwepo wake umeanza tangu mnamo karne ya 10 ambapo pia uliendana sawa na ufaji wa Dola la Ghana.

Uislamu kwa nchi

Leo hii idadi ya Waislamu nchini humo ni takriban asilimia 30 za wakazi wa nchi nzima ya Ghana.

Sehemu kubwa ya Waislamu wa nchini Ghana wanafuata Sunni, huku kukiwa na makadirio ya kwamba asilimia 16 ni wafuasi wa Ahmadiyya na asilimia karibia 8 ni wafuasi wa Shia.[1]

Tazama pia

  • Lango:Uislamu

Marejeo

Viungo vya nje

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.