Uislamu nchini Sudan Kusini

From Wikipedia, the free encyclopedia

Uislamu nchini Sudan Kusini

Uislamu ni dini ndogo mno nchini Sudan Kusini. Sehemu ya Waislamu walikaribishwa Sudan Kusini baada ya Kura ya maoni ya uhuru wa Sudan Kusini.[1] Sensa ya awali ilitaja kuwa dini ya wakusini katika miaka ya 1956 ambapo ilianishwa ya kwamba sehemu kubwa ya wakazi wa huko walikuwa wafuasi wa dini za jadi au Wakristo wakati asilimia 18 walikuwa Waislamu.[2]

Uislamu kwa nchi

Marejeo

Viungo vya Nje

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.