Nyanda za Juu za Kusini Tanzania
Mlima Wa Tanzania / From Wikipedia, the free encyclopedia
Nyanda za Juu za Kusini ni eneo la juu katika kusini magharibi ya Tanzania, upande wa kaskazini wa Ziwa Nyasa. Nyanda za juu ni pamoja na sehemu za mikoa ya Mbeya, Njombe, Rukwa, Ruvuma, na Songwe, zikipakana na Malawi, Msumbiji na Zambia. [1] Mbeya ndio mji mkubwa katika nyanda za juu.