![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/9/93/Tanzania_Songwe_location_map.svg/langsw-640px-Tanzania_Songwe_location_map.svg.png&w=640&q=50)
Mkoa wa Songwe
mkoa wa Tanzania / From Wikipedia, the free encyclopedia
Mkoa wa Songwe ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania yenye postikodi namba 54100 ukiwa umemegwa kutoka ule wa Mbeya mwaka 2016.[2]
Ukweli wa haraka Nchi, Wilaya ...
Mkoa wa Songwe |
|
![]() |
|
Majiranukta: 2°45′S 32°45′E | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Wilaya | |
Mji mkuu | Vwawa |
Serikali | |
- Mkuu wa Mkoa | |
Eneo | |
- Jumla | 26,595 km² |
- Kavu | 25,534 km² |
- Maji | 1,061 km² |
Idadi ya wakazi (2022) | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,344,687 [1]. |
Tovuti: http://www.songwe.go.tz/ |
Funga
Jina la mkoa limetokana na lile la mto Songwe.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 1,035,214 [3].
Makao makuu yako Vwawa.
Mkoa huu una halmashauri za[4]: 8