Cyril Ramaphosa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Matamela Cyril Ramaphosa (alizaliwa 17 Novemba 1952) ni mwanasiasa kutoka nchini Afrika Kusini aliyeapishwa kama rais wa nchi tarehe 15 Februari 2018.
Ukweli wa haraka Deputy, mtangulizi ...
Cyril Ramaphosa | |
Rais wa Afrika Kusini (2018- ) | |
Deputy | David Mabuza |
---|---|
mtangulizi | Jacob Zuma |
Makamu wa Rais wa Afrika Kusini (2012-2018) | |
Rais | Jacob Zuma |
mtangulizi | Kgalema Motlanthe |
aliyemfuata | David Mabuza |
Mwenyekiti wa African National Congress (2017- ) | |
Deputy | David Mabuza |
mtangulizi | Jacob Zuma |
Katibu Mkuu wa African National Congress (1991-1997) | |
Rais | Nelson Mandela |
mtangulizi | Alfred Baphethuxolo Nzo |
aliyemfuata | Kgalema Motlanthe |
tarehe ya kuzaliwa | 17 Novemba 1952 Soweto, Afrika Kusini |
chama | African National Congress |
ndoa | Tshepo Motsepe |
watoto | 4 |
mhitimu wa | Chuo Kikuu cha Kaskazini University of Limpopo |
Funga
Aliwahi kuwa kiongozi wa Chama cha Wafanyakazi wa Afrika Kusini, mpiganiauhuru na mfanyabiashara anayehesabiwa kati wa matajiri wa nchi yake.
Mwaka 2014 alichaguliwa kuwa Makamu wa rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini.
Mnamo Desemba 2017 alichaguliwa mwenyekiti wa chama cha African National Congress (ANC).