17 Novemba
tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia
tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia
Tarehe 17 Novemba ni siku ya 321 ya mwaka (ya 322 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 44.
Okt - Novemba - Des | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Elizabeti wa Hungaria, Gregori mtendamiujiza, Alfayo na Zakayo, Asisklo, Aniani wa Orleans, Gregori wa Tours, Lazaro wa Konstantinopoli, Hugo wa Lincoln, Yohane wa Castillo, Jordano Ansalone, Thoma Hioji n.k.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 17 Novemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.