From Wikipedia, the free encyclopedia
Kathleen Emperatriz "Kat" DeLuna (amezaliwa tar. 17 Novemba,[1] 1987[2] mjini The Bronx, New York) lakini amekulia katika moja kati ya sehemu za Newark, New Jersey. Kat ni mwimbaji wa Kimarekani mwenye asili ya Kidominika.
Kat DeLuna | |
---|---|
| |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Kathleen Emperatriz DeLuna |
Amezaliwa | 17 Novemba 1987[1][2] The Bronx, New York City, New York, Marekani |
Asili yake | Newark, New Jersey |
Aina ya muziki | R&B |
Kazi yake | Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mnenguaji |
Miaka ya kazi | 2006 - hadi leo |
Studio | Epic/Konvict Muzik |
Ame/Wameshirikiana na | Elephant Man, Omarion, Busta Rhymes, Don Omar, Akon, Darin |
Tovuti | www.katdeluna.com |
Wazazi wake wote wanatokea huko Dominika, mama yake, ana miliki duka la mikate mjini mwa mji wa Newark. Kwa sasa ameingia mkataba na studio ya Epic Records/GMB na studio ya Akon maarufu kama Konvict Muzik.
Konvict imetoa kile cha moyoni kwa kusema kuwa wanampango wa kuitoa upya albamu yake ya kwanza ya mwanadada huyu ya 9 Lives, lakini maelezo yake wa hivi karibuni alioyatoa kupitia mtandao wa myspace na kusema kwamba, amerejea zake studio kwa ajili ya kutoa albamu ya pili, na kupendekeza kuwa albamu ya 9 Lives haito tolewa tena, bali atashughulikia albamu mpya tu.
Mwaka | Jina | Chati iliyoshika | Album | ||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
US | FRA | PT | AUS | GER | BE | NL | CA | SE | FI | IRE | SWI | UK | |||
2007 | "Whine Up" (akishirikiana na Elephant Man) | ||||||||||||||
2008 | "Run The Show" (akishirikiana na Busta Rhymes) | ||||||||||||||
"Am I Dreaming" | |||||||||||||||
"In The End" | |||||||||||||||
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.