Jacob Zuma
From Wikipedia, the free encyclopedia
Jacob Gedleyihlekisa Zuma (* 12 Aprili 1942) alikuwa Rais wa Afrika Kusini tangu mwaka 2009 hadi 2018, alipojiuzulu.
Ukweli wa haraka Deputy, mtangulizi ...
Jacob Zuma | |
Rais wa Afrika Kusini (2009-2018) | |
Deputy | Kgalema Motlanthe Cyril Ramaphosa |
---|---|
mtangulizi | Kgalema Motlanthe |
aliyemfuata | Cyril Ramaphosa |
Rais wa African National Congress (2007-2017) | |
Deputy | Kgalema Motlanthe Cyril Ramaphosa |
mtangulizi | Thabo Mbeki |
aliyemfuata | Cyril Ramaphosa |
Makamu wa Rais wa Afrika Kusini (1999-2005) | |
Rais | Thabo Mbeki |
mtangulizi | Thabo Mbeki |
aliyemfuata | Phumzile Mlambo-Ngcuka |
tarehe ya kuzaliwa | 12 Aprili 1942 Nkandla, Afrika Kusini |
chama | African National Congress |
ndoa | Gertrude Sizakele Khumalo (1973–) Kate Mantsho (1976–2000) Nkosazana Dlamini (1982–1998) Nompumelelo Ntuli (2008–) Thobeka Mabhija (2010–) Gloria Bongekile Ngema (2012–) |
watoto | 20 |
Funga
Alikuwa makamu wa rais Thabo Mbeki kati ya 1999 na 2005.
Tangu Desemba 2007 hadi 2017 alikuwa mwenyekiti wa chama tawala cha ANC.